Robert Luccioni: UWONGO NA UPOTOSHAJI WA UKWELI.

Robert Luccioni Wicked Men and Impostors

Kinachofuata ni barua ya hadharani (kupitia barua pepe) ilitumwa kwa mwendazake Robert Luccioni mnamo tarehe 8 mwezi wa Disemba mwaka wa 2020. Kusudi ya barua hio ni kutoa majibu kwa video yenye hotuba yake iliyotokea kwenye jw.org/sw yenye kichwa “Imarisha Misuli Yako Ya Kidogo” (2 Tim. 3:13). Tunakusihi utazame video hiyo kabla ya kusoma barua hiyo ya […]